Monday, March 22, 2010

HABARI KWA WADAU WETU


Bi Chuma Suleiman aka. Bi Hindu, ni msanii maarufu hapa Tanzania. Bi Hindu ameigiza katika film na michezo kwenye TV hapa Bongo miaka mingi sana. Pia ameigiza katika michezo mingi ya redio. Kwa siku hukosi kumwona kwenye television hapa Bongo.
Bi Hindu anapenda sana mambo ya usanii na aliniambia alianza miaka mingi sana iliyopita hata kabla ya Uhuru wa Tanganyika. Bi Hindu alisomewa lines zake za kuongea na kuzishika mara moja.
Wadau wangu mpoooo? huyo ndio bi hindu,mtakuwa naye katika kipengele cha mcharazo wa Bi,mkubwa hapa hapa ndani ya blog yako uipendayo,subiri mwezi ujao upate uhondo kamili,anakujaaa

HIPO JUU ZAIDI

Saturday, March 20, 2010

COMEDY ORIGIONAL








ZE COMEDY SEARCH


Baada ya kufanyika usaili wa kutafuta vichwa ambavyo vita kamua katika kipindi cha Ze Comedy.

MCHAPO



Ilifika zam ya k-sher kutoa hisia zake kwenye mic.

Dhumuni kubwa la kwenda kwa maneke ni kutengeza wimbo kwa ajili ya huu msiba na wimbo huo alifanya K - Sher, Hussein Mchozi pamoja, Tunda Man na mimi mwenyewe dazin kamaa nilihusika hivii.

CHOCHOTE KINAWEZEKANA

UJIO MPYA


msanii Nura Haji a.k.a Noorah safari hii ameamua kurudi kivingine kabisi ama kurudi enzi zake za zamani wakati wa ngoma yake ile inaitwa HANITAKI.noorah safari hii ameamua kuimba kwasababu anaamini anauwezo mkubwa upande huo pia.
"raia wasishtuke ikitoka ngoma nimeimba mwanzo mwisho, na sio kwa kujaribu! kuimba hasa hasa ile!, nimeimprove sana safari hii, coz music will always be a part of my life so nimeamua kuufanya serious nw!
kuimba bana!. STAY TUNE KWA THE NEW NOORAH

HAPPY B,DAY JOKETI


Leo mwanadafada Joketi anasherehekea siku yake yakuzaliwa...mimi nakutakia maisha mema yenye amani tele.

UZA SURA HAPA

Ni ukurasa utakao husika na sherehe,b-day na wadau wote,unachotakiwa kufanya ni kutuma picha yako kupiti Email zangu hapo kulia chini utaziona.

CAMERA YANGU (JICHO LA TATU)






MISHI B


Hatimaye ‘presenta’ wa kipindi cha miondoko ya Pwani kupitia Kituo cha Redio cha Magic FM cha jijini Dar es Salaam, Mwanahamisi Bashir Mwenda ‘Mishi B, hivi karibuni ameingia kwenye kitanzi cha ndoa baada ya kufanyiwa bonge la ‘kicheni pati’ ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuvaa pingu za maisha...
Shughuli hiyo iliyoshuhudiwa na Paparazi wa Mcharazo.blogspot.com, ilichukua nafasi ndani ya Ukumbi wa Water Front Posta, jijini Dar juzi, ambapo mastaa lukuki walikuwa ndani.

Unaambiwa mbali na shughuli pevu ya mambo ya ndoa aliyobashiriwa na wafundaji maarufu, Mish B alijizolea zawadi na mapochopocho kibao ambapo haimuhitaji kufanya ‘shopingi’ kwa sasa isipokuwa ni kiasi tu cha kwenda kuanza maisha.

Katika hali ya maajabu, ndani ya ukumbi huo, huku Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki, Khadija Kopa akinogesha, ulifukizwa moshi mkali uliokuwa na harufu kali ya uturi kwa madai kwamba, kwa mwanamke yeyote aliyekuwa ndani ya ukumbi huo, ndoa yake haiwezi kuvunjika kirahisi baada ya kufukizwa moshi huo.

Hivi karibuni gazeti hili liliripoti habari ya Mishi B kuwa katika ‘prosesi’ za kufunga ndoa na mwanaume ambaye hakutajwa jina kwa sababu maalum.

Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Mishi B aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema kuwa, mtangazaji huyo anatarajia kuolewa na mwanaume huyo baada ya kuwa katika uhusiano wa kawaida kwa muda mrefu.

Alisema kwamba, hatua ya Mishi B kuamua kubebwa jumla jumla imekuja kufuatia ushauri ambao watu wamekuwa wakimpa wakimweleza kuwa, kwa umri alionao sasa anastahili kuwa ‘Mrs’. Picha hizi ni kwa mjibu wa mtandao wa Zeze.

MAWAIDHA

Salamu haifilisi wala haitii ukimwi ila,inajenga na kuimarisha urafiki huu,nakutakia ijumaa njema.

NIPE NIKUPE

Life(MAISHA)neon hili hata maprofesa wameshindwa kulizungumzia kutokana na kira mtu kupitia njia yake ya kujipatia vijisenti.
MFANO
Mimi ni tajiri na wewe ni masikini

CHEKA NA MJOMBA NISHAI


Mtu mfupi kuliko wote duniani.
Kuna kamchezo nacheza hapa!kanafurahisha sana,hebu na wewe jaribu,weka simu yako VIBRATION kasha itumbukize kwenye maji,kisha ibeep uone simu inavyoogerea

WAKUSWAMPA KITAA

Pita pita yangu ilikuwa kimara,nini kilitokea huko?
Kaka mmoja mkazi wa kimara king’ongo wiki iliyopita yalimkuta maswaiba ya kutisha baada ya kumtongoza mwanamke mtaani hapo hapo anapoishi na kwenda kulala kwa dada huyo.Kaka huyo alistuka mishale ya saa nane usiku uso wake ulikutana na uso wa dada huyo ambaye ulikuwa wa mnyama aina ya punda.Dada huyo kuona soo hakamchimbia mkwara kaka huyo na kumwambia endapo hatatoa siri hiyo hatamfanyia kitu ambacho ajawai kufanyiwa tokea azaliwe,usiku huo huo kaka huyo alitimua mbio na kuondoka nyumbani hapo.Asubuhi ilipofika kaka huyo aliwatangazia watu wote wa kitongoji hicho kwa kuwaambia dada huyo ni mshirikina.Vijana waliamua kumpa jina la jini kabura,dada huyo mchana wa siku ya jumatano mishale ya saa nane alikodi pikipiki na kuondoka kusikojulikana.

MCHARAZO WA LEO

Leo ni siku ya uvaaji chupi duniani,watu wanasheherekea kwa kutaja rangi ya chupi aliyovaa leo,Je! Wewe umevaa rangi gani? Ukikaa kimya maana yake leo hujavaa,usipo jibu umevaa chupi chafu,ukicheka hutakuwa umevaa iliyochanika na ukisoma peke yako sms hii utakuwa umevaa over size.HAPPY CHUPI DAY.

VIJITABIA VYA WAPENDA NAO

Umbali si shari ila kujua hali ni mali,jambo la huba ni asari,si ajari,japo ni mbali upendo wangu kwako ni jabari,pendo langu kwako ni zaidi ya gari la kifahari.
PASUA KICHWA
Swali:Utachukua uhamuzi ganiiwapo utagundua mpenzi wako ni mchawi? (MSHIRIKINA).

NDOTO


Usiku wa jana niliota ndoto mbaya sana,niliota nipo sehemu zenye miungurumo ya radi na upepo mkali.Nilikuwa nipo na kiumbe cha kutisha sana,kiumbe hicho kiliniambia kinaitaji wafuasi wapya kutoka duniani,mimi nikamuuliza!wafuasi wapya? Na yeye hakajibu ndio wafuasi wapya na makatili,nikamuuliza tena,kuna binadamu katili kuliko nyie?,nayeye hakanijibu kwa haraka,wapo na kazi ya kuwatafuta nakupa wewe,nilistuka kutoka ndotoni.Kwa kweli sijaijua ndoto hii inaashiria nini.

Thursday, March 11, 2010

Asha Sharapova ambwaga aisha madinda katka unenguaji



Asha Sharapova ndiye alikuwa mfanyakazi bora kwa upande wa wanenguaji

Mfanyakazi bora kwa upande wa waimbaji ilikwenda kwa Salehe Kupaza mwana Tanga nyimbo yake ya sitaki tena bado inasumbua na sasa ana nyimbo mpya nayo inateka nyoyo za watu.Ankal alikuwepo kutoa zawadi kwa mwimbaji huyo

ZAWADI KWA WAFANYAKAZI WA TWANGA PEPETA


Kabla ya shughuli ya kutoa zawadi haijaanza watu tulisugua kisigino kwa kwenda mbele,Kalala jnr akiwa na Luiza Mbutu na Amigolas baba na soffie
MAWAIDHA
Safu hii ni mpya na lengo lake ni kumkumbuka mw/mungu na mitume yake.Bila kusahau dini zote mbili pamoja na khadithi za kale pamoja na ujumbe wa sini hizo.
Mwenyezi mungu kaumba Mbingu,Ardhi,Miti na Wanyama.Hakuridhika wala kujisifu hadi alipoumba kiumbe mzuri kama sisi wanadamu,alijisifu kwa kusema ‘nimemuumba mwanadamu katika umbo lililobora” na sisi tusiache kumsifu kwa sara na maombi ya kira siku.
Siku moja kulitokea ugeni ktk nyumba ya tajiri mmoja,ambae ni maraika mkubwa na mdogo.Kwa vile maraika wale walikuwa na umbo la binadamu ilikuwa vigumu tajiri yule na mkewe kugundua kama wale ni maraika.Maraika wale waliomba hifadhi ya sehemu ya kulala kwa usiku mmoja,tajiri yule aliwapa hifadhi sehemu ya chini ya gorofa lake ambako anahifadhi vitu visivyo tumika. Maraika wale walipokuwa wanaandaa sehemu ya kulalia malaika mkubwa hakaona tobo sehemu ya chini ya chini ya ardhi hakaliziba.Ilipofika asubuhi maraika wale waliondoka na kwenda sehemu nyingine.Walifika ktk nyumba ya maskini majira ya jioni,malaika wale waliomba hifadhi ya sehemu ya kulala,maskini yule pamoja na mkewe wakawapokea na kuwakaribisha chumbani kwao na kisha wakaandaa chakula .Chakula kilipokuwa tayari wakala na kulala pamoja na maskini hao,asubuhi ilipofika maraika mdogo alishangaa kukuta wenyeji wao wakiwa na sura za huzuni.

Maraika mdogo hakauliza! kwanini mnasura za huzuni?

Maskini hakajibu! ng'ombe wetu aliye kuwa shamba ambaye anatupatia kipato cha kila siku asubuhi ya leo tumemkuta hakiwa amekufa.

Maraika mdogo hakamuuliza swli maraika mkubwa!kwanini umemuacha ng'ombe wa maskini hafe wakati tajiri ulimzibia tobo?

Maraika mkubwa hakajibu!wakati tulipokuwa kwa tajiri niliona tobo chini ya nyumba yake likiwa na dhahabu nyingi sana,lakini nililiziba kwa sababu hataki ushirikiano na wenzie wala maskini.

Usiku wajana alikuja pepo mauti ili amtoe roho mke wa maskini huyu,kwa vile niliona kabla nilimuelekezea kidole ili haende kwa yule ng'ombe na sio mke wa maskini huyu.maskini hatapokuwa hanaeda shambani kwake ili kwenda kumzika yule ng'ombe njiani nitamtupia kipande cha almasi na yeye hatakiokota kipande hicho na kwenda kukiuza na kununua ng'ombe wengine wengi kuliko yule mmoja waliokuwa wana mtegemea

LET HAS HELP ONE ANOTHER ESPECIALLY WHEN HE ARE IN NEED

NIPE NIKUPE

Siku ya jumatano nilipata bahati ya kupumzika nyumbani kwa kuwa nilikuwa nyumbani nikaona si vibaya nikatoka ili nikawasarimie ndugu na marafiki,nilipanda basi nikashuka manzese,lengo langu si kushuka manzese ila basi nililopanda lilialibika kituoni hapo,nikaona acha nitembee kwa mguu mpaka kagera.Nilipokuwa njiani sina hili wa lile mara kuna dada mmoja hakakatiza mbele yangu,uso wangu ulikuwa hukiangalia kichogo chake du! Nilijikuta nikilopoka bila kujua kuwa angeweza kunisikia.Yule dada alivaa NIGHT DRESS ya kulalia na chini alikuwa amemechi na sandro za pinki.Tuliongozana mpaka kituoni ajentina,yule dada alisimama kituoni kusubiri daladala,na mimi kutaka nikupe umbea msomaji wangu nikasimama kituoni hapo kusubili daladala ili nimfatilie wapi hatashuka? Bahati nzuri likaja gari la k/koo yeye mbele na mimi nyuma mpaka kwenye gari na bahati nzuri yeye alipata siti ya mbele,tulipofika k/koo habiria wote tulishuka,yule dada alinyoosha mpaka kwenye stend ya mabasi ya mbagara,nilipita kwenye njia ambayo mpaka leo sihisahau kwa kuwa ili kuwa njia nyembamba kama uchochoro wa tundu ya sindano,kwenye uchochoro huo ndipo tulipotezana kwa kuwa yeye alinitangulia mbele yangu,kufika mbele yule dada siku muona tena na ilinibidi niwaulize kinadada ambao wao walikaa nje wakijadili mambo yao ya maisha,usilolijua sawa na usiku wa giza,kumbe ile nyumba niliyokuwa nauliza ndimo anamokaa yule dada,balaa lilianza hapo.TUONANE WIKI IJAYO MJOMBA NISHAI ANANIAMBIA NI SIN OUT ILI NIMPISHE NA YEYE ALETE VITU

CHEKA NA MJOMBA NISHAI

Imegundulika kwamba x1 au x2 kwa siku watu katika dunia hii husimama kwa mguu 1 kwa sekunde kadhaa,unajua ni wakati gain? Ni wakati wa kuvaa chupi.

WAKUSWAMPA KITAA

Mwanaume mmoja jina lake ni saidy mkazi wa magomeni kagera,siku ya alhamisi iliyopita alisutwa na timu nzima ya VIWAVI TERMINAR iliyopo kagera,kwa mujibu na mwenyekiti wa timu hiyo wa kuwakerebisha tabia watu wanaowazarau wenzao anaelezea chanzo cha kumsuta huyo kaka.Siku ya jumatano yule kaka alimwita mmoja wao na kumtuma hakamwite dada yoyote ambaye anaweza kumstarehesha kwa siku hiyo,mtoto yule alikataa na yule kaka hakaanza kumkandia yule mtoto mpaka dada zake kuwa wao wanauza DANG’A.Siku ya alhamisi majira ya saa 11:00 za jioni timu nzima ya viwavi ilimtafuta kwa simu huyo kaka na kufanikiwa kuongea nae kwa mtego ili wape kumkamata na kumpa adhabu kali ili asirudie,yule kaka bila kipingamizi mida hiyo hiyo aliwasiri na hapo ndipo varangati liliponza huku yule mtoto hakielezea aliyoambiwa na yule kaka usiku wa jana,yule kaka alisutwa na kuzomea na hata na watoto wadogo huku wanaume ambao nao wapo katika kikundi hicho wakimsindikiza kwa kichapo kikali,kwa hasira za kichapo yule kaka alitaka kumpiga ndugu mwandishi na moja ya jembe lilokuwa jirani hapo rakini lilimkosakosa,kuona hivyo timu nzima ya viwavi walimkimbizia ndani mmoja wa mwandishi wetu wa habari.Mwenyekiti wa viwavi amesema tumekuja kuutibu unafki,umbea na wanaopenda kudharau wenzao,na timu hiyo hiyo hipo teari kukodiwa ktk msuto wa mtu yoyote yule.

MCHARAZO WA LEO

Kuingia toleo jipya la chupi aina ya boksa kumetufanya tusahau chupi na tuzione mbaya.Ila bukta nazo haziko nyuma ktkt kuvaliwa kama moja wapo ya nguo ya ndani.Wengi wetu wanaume hatuzingatii usafi wa bukta za ndani ambazo ariri yake ni kwa watu wanaofanyia mazoezi ya viungo.Utamkuta kijana au baba mtumzima bukta yake inanuka pwiyaaa(harufu mbaya)kitendo cha kupishana nae kwenye daladala hasa usiombe wewe huwe umekaa kwenye siti na yeye asimame!utaomba daladala lifike ili ushuke
TUZINGATIE USAFI
Nunua bukta zako 7 na hata 20 jumatatu hadi ijumaa wewe unabadilisha kila siku.Rakini utakuta mtu yeye na bukta hiyo hiyo kila siku?wakati gaini unafua? Vaa na nyeupe kila siku huone kama haijakuzaririsha kwa uchafu wako.Asirimia 95% ya vijana tuna fangasi szinazotokana na nguo za ndani,utakuta mwingine katoka kuoga bila kujiuliza na kuona kinyaa cha nguo hiyo anaivaa tena,mwisho unapata fangasi na kutoa harufu mbaya huko kwenye mcharazo wanawake wote wanakukimbia harafu unabaki kusema sina bahati ya kupendwa.Tujirekebishe mimi na wewe,muulize mwenzio kila siku anabadilisha nguo ya ndani?

VIJITABIA VYA WAPENDANAO

MADA;Muulize mpenzi wako kitu gani anachovutiwa na wewe? Ktk mwili wako?
SWALI;Inauma kumpenda asiyekupenda?

Tuesday, March 9, 2010

KWA WASOMAJI WA BLOG HII

Furaha zenu ziongezeke kama bei ya PETROL,mashaka yapungue kama ajira zenu,hekima zenu zizagae kama bidhaa za MCHINA,muwe na thamani kama viungo vya ALBINO vinavyotakiwa kulindwa.

BREAKING NEWS

Jinsi ya kujichunguza saratani ya mapumbu.Lala chali,panua miguu,dindisha mboo,shika mboo kwa mkono huku hukizungusha kama mshale wa saa,hukiona ngozi ya mapumbu imesinyaa muone daktari.Ujumbe huu umeletwa kwenu na madaktari wanaume Tanzania (MBOWATA),Nani kama baba? Watumie na wenzio unaowajali

NIPE NIKUPE

Amani iwe juu yako,uwe na uvumilivu kama Lawino,uwe na busara kama za Karama,kwa kuwa busara inaleta subira kama wana wa Kusadikika ila usiwe na papara kama mazoea au tabia za ajabu kama Suzi,yote yanawezekana,mbona Lerionka aliweza?,uwe muadilifu zaidi yam zee Toboa,usipende chuki kama Sikujua,uwe na uzalendo wa ukweli zaidi ya Okonkwa,usiwe na majivuno kama ya okol,usikate tama kama watoto wa mama ntilie,ukiwa kazini usipende kama Ngoswe

CHEKA NA MJOMBA NISHAI.

Hapo zamani za kale alitokea babu kagongwa na baiskeli hadi kazimia,kuna kijana mpita njia alisema,mleteeni maziwa anywe hatazinduka,Babu aliyegongwa hakadakia, na Bagia za mia 300.
Ukewenza unamambo…!
Sauti ilisikika kutoka chumba cha pili cha Bi mdogo”Nakojoa nakojoa”Bi mkubwa hakan’gaka kwa hasira na sauti kubwa”Hata hukitaka kunya we kunya tu”
Asha kaenda mbio kwa baba yake,hakamwambia”Baba juma kachukua kojoleo lake hakaingiza kwenye kojoleo langu?”baba yake kwa hasira “Ndo ushatombwa Malaya wewe”

WAKUSWAMPA KITAA

Tuachane na utani tuongelee vitu serious.Heti nasikia wewe ni mnene sana kiasi kwamba ukipimwa kwenye mzani,mzani unaandika”TO CONTINUED”
KWA WAPENDA NAO
Wivu ni dalili ya penzi la kweli,waingereza wanasema”TOO MUCH OF EVERY THING”.

MCHARAZO WA LEO

Nje ya ubinadamu ungependa kuwa kitu gain?
Kitanda ulaliwe?
Kapeti hukanyagwe?
Pip unyonywe?
Mpira uchezewe?
Msumari ugongwe?
Mbegu upandwe?
Nazi hukunwe
Choo ukojolewe?
Kisiki ung’olewe?
Tunda upandwe
Dawa ya kuchua usuguliwe?

Saturday, March 6, 2010

WEB SASA HIPO TEARI

MAAJABU YANAENDELEA?


Masta anaishi katika jeneza hilo, aliloliweka juu ya mawe eneo la Kipawa, Ilala, jijini Dar es Salaam, sehemu ambayo ilikuwa na makazi ya watu kabla ya bomoa bomoa iliyowahamisha kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
“Sina mahala pa kuishi, unajua sisi hatuna mali. Siyo matajiri, urithi pekee ambao niliachiwa na wazee wangu ni nyumba ambayo ilikuwa ikinisaidia vijisenti vya kuendesha maisha yangu, lakini imebomolewa.mimi huwa sitii neno nawaachia nyie wadau haya maoni yenu.

WAMERITEKA SOKO LA FILM TANZANIA?


Wanakuja kwa kasi sana ktk tasnia hii ya film na teari wamewateka wa TANZANIA ktk film,Inasemekana film bila ya wao bado haijawa film hivi ni kweli? naomba maoni yako hapo chini.

COVER YA MY DREAMS YAKAMILIKA


Cover ya mzigo unaokwenda kwa jina la MY DREAMS imekamilka na muda
wowote poster zitaanza kuonekana mitaani na kwenye magazeti.Mtayarishaji wa cover hyo Mr Raqee amesema kuwa yeye si mtu wa kubahatisha ndio maana kila cover anayotoa inakuwa kali kuizidi ya mwanzo Rj campany wamejipanga kisawa sawa katika tasnia hii ya filam

JOHARI HAWA OPRAH KATIKA MY DREAMS


Johari ameibuka katika movie hii akicheza kama mwendesha kipindi kama anachofanya Oprah na amekamua ile mbaya na kuna kitu anafikiria kufanya baada ya kuona amecheza vizuri katika talk show hiyo

ADHABU YA WAZINZI SOMALIA



adhabu ya mtu anayekamatwa kwa kosa la kizini nchini Somalia ni kupigwa mawe hadi kufa. Awali linachibwa shimo la kumuingiza mtuhumiwa kisha anafukiwa hadi usawa wa kifua na kuanza kupondwa mawe hadi anakata roho ndipo anatolewa..!

TIBWILI TIBWILI LA ASHA NGEDERE


Asha Ndedere Original na Tatu ukwaju wakiwa wanaenda shopping

MASANJA NDANI YA BLOG YAKE


Baada ya marekebisho fulani fulani hatimaye Masanja Mkandamizaji arudi kwa hasira ndani ya libeneke lake linalojulikana kwa jina la
www.mkandamizaji.blogspot.com

NI MA HIPS YA KICHINA?


MH WADAU HIVI HII PICHA INAWEZA KUWA NI KWELI KUWA NI KUTOKANA NA MATUMIZI HAYA YA KUONGEZA VIUNGO IKIWEMO MAKALIO , MAHIPS NA KADHALIKA??!!....SIKU HIZI NASKIA HATA UKIKATIZA MJINI UKIWA UMEJAALIWA VIJANA WANAULIZANA ORIGINAL AU YA KICHINAAAAA?!!!.....WENGINE HUYAITA 'MATAKO YA MAIMARTHA HAYOOO' LEO HAPA NAOMBA MNIJUZE KWELI HIZI DAWA ZIPO NA UNAMJUA MTU AMBAYE AMETUMIA .....je naweza pata picha ya before na after niprove

NIPE NIKUPE

Baadaya TIGO EXREME,VODA CHEKA CHEKA,DAWASCO JIMWAGIE KWA 1500,TANESCO JIMULIKE,ZAIN ndio funika bovu unaongea kwa 500 kisha unarudishiwa 500 yako,hii inaitwa NIPE NIKUPE
Mcharazo wa nipe nikupe.

CHEKA NA MJOMBA NISHAI

Mbele ya mtumishi wa mungu,mume bila woga anafungua zipu kisha hakaanza kuingiza kwa mkewe taratibu huku watu wakiwa hawaamini,hakaendelea kuingiza mpaka hikaingia yote na kukaa vizuri kwa mkewe,watu wakashangilia ilivyoingia yote ile pete ya ndoa,Mbona unacheka? Ulifikiri nini?
Mcharazo wa mjomba nishai.

MCHARAZO WA LEO

MATOKEO YA VALENTINE.
Ndoa zilivunjika=25%
Fumanizi=50%
Mauzo ya condom=95%
Waliozini=180%
Vitanda vilivunjika=20%
Maambukizi ya H I V=67%
Waliopata wapenzi wapya=79%
Walioshinda nyumbani=20%
Mahudhulio ya gesti=100%
Kutumia neno I LOVE YOU=500%
Mcharazo wa leo

NANI MKALI? (MSAHAULIFU)

Wa1,alikuwa amekaa kitandani asubuhi,hakasahau kama alikuwa anaamka au analala,Wa2,alikuwa amesimama kwenye ngazi hakasahau kama alikuwa anapanda au anashuka,W3,anaongea peke huku anagongagonga meza kisha hakatulia tuli,hakasema nadhani mlango unagongwa ngoja nikafungue.
Mcharazo wa nani mkali(msahaulifu)

WAKUSWAMPA KITAA

WAKUSWAMPA KITAA
Uaminifu wa mapenzi unapotea karne ya sasa,wanawake wameamua kuwabadilisha majina wanaume zao na kumaanisha vingine.
DARLING=KUBWA JINGA
SWEET=MSHAMBA
DEAR=WAKUZUGIA
HONEY=KIMEO
MY HEART=ANAIBIWA
MY LOVE=ZEZETA
HUSBAND=BUZI
Je wako unamwitaje?
Mcharazo wa wakuswampa kitaa.

NYOTA ZENU

NYOTA YA PUNDA
Ile tabia ya kutia hamira kwenye ugali bado unaipenda,bac endekea hivyo hivyo ili wateja wapate vitambi vya ziada
NYOTA YA NGOMBE
Ule mchezo wa kuwazidishia wateja chenji bado unaendelea,kwa hiyo endelea zaidi ili upate faida
NYOTA YA MAPACHA
Ile tabia ya kumwagia maji kwenye TV na kikombe bado unayo,mwagia maji ndoo nzima ya maji ya betri ili hipate kukamata channel za nje
NYOTA YA KAA
Ule mchezo wa kusugua pembe kwa matako ktk nyumba za majirani zako bado unayo,endelea zaidi ili makalio yapate kuchubuka .
NYOTA YA SIMBA
Ule mtindo wa wizi bado unao,nenda kaibe nyumba ili upate kukimbia nayo
NYOTA YA MASHUKE
Yule aliyekuwa anakufata kila siku ili hakutume ulikuwa unakaa naye mbali,kaa naye karibu ili hakutume vizuri.
NYOTA YA MIZANI
Ule mchezo wa kukaa chooni bado unaupenda,kwa hiyo lala huko huko ili upate kushiba harufu ya choo.
NYOTA YA NGE
Ule uvaaji wako wa nguo fupi bado unaupenda,zidisha hadi juu na upite uchochoroni ili wahuni wapate kukukbaka vizuri
NYOTA YA MSHALE
Ule unywaji wako wa pombe na kutukana watu bado ujaacha,nenda kituo cha polisi na hukawatukane.
NYOTA YA MBUZI
Ule mtindo wa kuchanganya mafuta ya disel na ya taa kwenye gari bado unao,changanya na maji ya betri ili gari yako isitumie mafuta tena.
NYOTA YA NDOO
Ile tabia ya kupunguza vitambaa vya wateja ili ushone nguo bado ujaacha,endelea kupunguza na nguo ulizoshona ili upate vingi zaidi.
NYOTA YA SAMAKI
Ule mchezo wa kumpigia mke wa mtu chabo chooni bado unaupenda,mpigie chabo pale mume wake anapotokea.