Thursday, March 11, 2010

MAWAIDHA
Safu hii ni mpya na lengo lake ni kumkumbuka mw/mungu na mitume yake.Bila kusahau dini zote mbili pamoja na khadithi za kale pamoja na ujumbe wa sini hizo.
Mwenyezi mungu kaumba Mbingu,Ardhi,Miti na Wanyama.Hakuridhika wala kujisifu hadi alipoumba kiumbe mzuri kama sisi wanadamu,alijisifu kwa kusema ‘nimemuumba mwanadamu katika umbo lililobora” na sisi tusiache kumsifu kwa sara na maombi ya kira siku.
Siku moja kulitokea ugeni ktk nyumba ya tajiri mmoja,ambae ni maraika mkubwa na mdogo.Kwa vile maraika wale walikuwa na umbo la binadamu ilikuwa vigumu tajiri yule na mkewe kugundua kama wale ni maraika.Maraika wale waliomba hifadhi ya sehemu ya kulala kwa usiku mmoja,tajiri yule aliwapa hifadhi sehemu ya chini ya gorofa lake ambako anahifadhi vitu visivyo tumika. Maraika wale walipokuwa wanaandaa sehemu ya kulalia malaika mkubwa hakaona tobo sehemu ya chini ya chini ya ardhi hakaliziba.Ilipofika asubuhi maraika wale waliondoka na kwenda sehemu nyingine.Walifika ktk nyumba ya maskini majira ya jioni,malaika wale waliomba hifadhi ya sehemu ya kulala,maskini yule pamoja na mkewe wakawapokea na kuwakaribisha chumbani kwao na kisha wakaandaa chakula .Chakula kilipokuwa tayari wakala na kulala pamoja na maskini hao,asubuhi ilipofika maraika mdogo alishangaa kukuta wenyeji wao wakiwa na sura za huzuni.

Maraika mdogo hakauliza! kwanini mnasura za huzuni?

Maskini hakajibu! ng'ombe wetu aliye kuwa shamba ambaye anatupatia kipato cha kila siku asubuhi ya leo tumemkuta hakiwa amekufa.

Maraika mdogo hakamuuliza swli maraika mkubwa!kwanini umemuacha ng'ombe wa maskini hafe wakati tajiri ulimzibia tobo?

Maraika mkubwa hakajibu!wakati tulipokuwa kwa tajiri niliona tobo chini ya nyumba yake likiwa na dhahabu nyingi sana,lakini nililiziba kwa sababu hataki ushirikiano na wenzie wala maskini.

Usiku wajana alikuja pepo mauti ili amtoe roho mke wa maskini huyu,kwa vile niliona kabla nilimuelekezea kidole ili haende kwa yule ng'ombe na sio mke wa maskini huyu.maskini hatapokuwa hanaeda shambani kwake ili kwenda kumzika yule ng'ombe njiani nitamtupia kipande cha almasi na yeye hatakiokota kipande hicho na kwenda kukiuza na kununua ng'ombe wengine wengi kuliko yule mmoja waliokuwa wana mtegemea

LET HAS HELP ONE ANOTHER ESPECIALLY WHEN HE ARE IN NEED

No comments:

Post a Comment