Thursday, March 11, 2010

MCHARAZO WA LEO

Kuingia toleo jipya la chupi aina ya boksa kumetufanya tusahau chupi na tuzione mbaya.Ila bukta nazo haziko nyuma ktkt kuvaliwa kama moja wapo ya nguo ya ndani.Wengi wetu wanaume hatuzingatii usafi wa bukta za ndani ambazo ariri yake ni kwa watu wanaofanyia mazoezi ya viungo.Utamkuta kijana au baba mtumzima bukta yake inanuka pwiyaaa(harufu mbaya)kitendo cha kupishana nae kwenye daladala hasa usiombe wewe huwe umekaa kwenye siti na yeye asimame!utaomba daladala lifike ili ushuke
TUZINGATIE USAFI
Nunua bukta zako 7 na hata 20 jumatatu hadi ijumaa wewe unabadilisha kila siku.Rakini utakuta mtu yeye na bukta hiyo hiyo kila siku?wakati gaini unafua? Vaa na nyeupe kila siku huone kama haijakuzaririsha kwa uchafu wako.Asirimia 95% ya vijana tuna fangasi szinazotokana na nguo za ndani,utakuta mwingine katoka kuoga bila kujiuliza na kuona kinyaa cha nguo hiyo anaivaa tena,mwisho unapata fangasi na kutoa harufu mbaya huko kwenye mcharazo wanawake wote wanakukimbia harafu unabaki kusema sina bahati ya kupendwa.Tujirekebishe mimi na wewe,muulize mwenzio kila siku anabadilisha nguo ya ndani?

No comments:

Post a Comment