Saturday, March 20, 2010

NDOTO


Usiku wa jana niliota ndoto mbaya sana,niliota nipo sehemu zenye miungurumo ya radi na upepo mkali.Nilikuwa nipo na kiumbe cha kutisha sana,kiumbe hicho kiliniambia kinaitaji wafuasi wapya kutoka duniani,mimi nikamuuliza!wafuasi wapya? Na yeye hakajibu ndio wafuasi wapya na makatili,nikamuuliza tena,kuna binadamu katili kuliko nyie?,nayeye hakanijibu kwa haraka,wapo na kazi ya kuwatafuta nakupa wewe,nilistuka kutoka ndotoni.Kwa kweli sijaijua ndoto hii inaashiria nini.

No comments:

Post a Comment