Thursday, March 11, 2010

NIPE NIKUPE

Siku ya jumatano nilipata bahati ya kupumzika nyumbani kwa kuwa nilikuwa nyumbani nikaona si vibaya nikatoka ili nikawasarimie ndugu na marafiki,nilipanda basi nikashuka manzese,lengo langu si kushuka manzese ila basi nililopanda lilialibika kituoni hapo,nikaona acha nitembee kwa mguu mpaka kagera.Nilipokuwa njiani sina hili wa lile mara kuna dada mmoja hakakatiza mbele yangu,uso wangu ulikuwa hukiangalia kichogo chake du! Nilijikuta nikilopoka bila kujua kuwa angeweza kunisikia.Yule dada alivaa NIGHT DRESS ya kulalia na chini alikuwa amemechi na sandro za pinki.Tuliongozana mpaka kituoni ajentina,yule dada alisimama kituoni kusubiri daladala,na mimi kutaka nikupe umbea msomaji wangu nikasimama kituoni hapo kusubili daladala ili nimfatilie wapi hatashuka? Bahati nzuri likaja gari la k/koo yeye mbele na mimi nyuma mpaka kwenye gari na bahati nzuri yeye alipata siti ya mbele,tulipofika k/koo habiria wote tulishuka,yule dada alinyoosha mpaka kwenye stend ya mabasi ya mbagara,nilipita kwenye njia ambayo mpaka leo sihisahau kwa kuwa ili kuwa njia nyembamba kama uchochoro wa tundu ya sindano,kwenye uchochoro huo ndipo tulipotezana kwa kuwa yeye alinitangulia mbele yangu,kufika mbele yule dada siku muona tena na ilinibidi niwaulize kinadada ambao wao walikaa nje wakijadili mambo yao ya maisha,usilolijua sawa na usiku wa giza,kumbe ile nyumba niliyokuwa nauliza ndimo anamokaa yule dada,balaa lilianza hapo.TUONANE WIKI IJAYO MJOMBA NISHAI ANANIAMBIA NI SIN OUT ILI NIMPISHE NA YEYE ALETE VITU

No comments:

Post a Comment