Saturday, March 6, 2010

NYOTA ZENU

NYOTA YA PUNDA
Ile tabia ya kutia hamira kwenye ugali bado unaipenda,bac endekea hivyo hivyo ili wateja wapate vitambi vya ziada
NYOTA YA NGOMBE
Ule mchezo wa kuwazidishia wateja chenji bado unaendelea,kwa hiyo endelea zaidi ili upate faida
NYOTA YA MAPACHA
Ile tabia ya kumwagia maji kwenye TV na kikombe bado unayo,mwagia maji ndoo nzima ya maji ya betri ili hipate kukamata channel za nje
NYOTA YA KAA
Ule mchezo wa kusugua pembe kwa matako ktk nyumba za majirani zako bado unayo,endelea zaidi ili makalio yapate kuchubuka .
NYOTA YA SIMBA
Ule mtindo wa wizi bado unao,nenda kaibe nyumba ili upate kukimbia nayo
NYOTA YA MASHUKE
Yule aliyekuwa anakufata kila siku ili hakutume ulikuwa unakaa naye mbali,kaa naye karibu ili hakutume vizuri.
NYOTA YA MIZANI
Ule mchezo wa kukaa chooni bado unaupenda,kwa hiyo lala huko huko ili upate kushiba harufu ya choo.
NYOTA YA NGE
Ule uvaaji wako wa nguo fupi bado unaupenda,zidisha hadi juu na upite uchochoroni ili wahuni wapate kukukbaka vizuri
NYOTA YA MSHALE
Ule unywaji wako wa pombe na kutukana watu bado ujaacha,nenda kituo cha polisi na hukawatukane.
NYOTA YA MBUZI
Ule mtindo wa kuchanganya mafuta ya disel na ya taa kwenye gari bado unao,changanya na maji ya betri ili gari yako isitumie mafuta tena.
NYOTA YA NDOO
Ile tabia ya kupunguza vitambaa vya wateja ili ushone nguo bado ujaacha,endelea kupunguza na nguo ulizoshona ili upate vingi zaidi.
NYOTA YA SAMAKI
Ule mchezo wa kumpigia mke wa mtu chabo chooni bado unaupenda,mpigie chabo pale mume wake anapotokea.

No comments:

Post a Comment