Thursday, March 11, 2010

WAKUSWAMPA KITAA

Mwanaume mmoja jina lake ni saidy mkazi wa magomeni kagera,siku ya alhamisi iliyopita alisutwa na timu nzima ya VIWAVI TERMINAR iliyopo kagera,kwa mujibu na mwenyekiti wa timu hiyo wa kuwakerebisha tabia watu wanaowazarau wenzao anaelezea chanzo cha kumsuta huyo kaka.Siku ya jumatano yule kaka alimwita mmoja wao na kumtuma hakamwite dada yoyote ambaye anaweza kumstarehesha kwa siku hiyo,mtoto yule alikataa na yule kaka hakaanza kumkandia yule mtoto mpaka dada zake kuwa wao wanauza DANG’A.Siku ya alhamisi majira ya saa 11:00 za jioni timu nzima ya viwavi ilimtafuta kwa simu huyo kaka na kufanikiwa kuongea nae kwa mtego ili wape kumkamata na kumpa adhabu kali ili asirudie,yule kaka bila kipingamizi mida hiyo hiyo aliwasiri na hapo ndipo varangati liliponza huku yule mtoto hakielezea aliyoambiwa na yule kaka usiku wa jana,yule kaka alisutwa na kuzomea na hata na watoto wadogo huku wanaume ambao nao wapo katika kikundi hicho wakimsindikiza kwa kichapo kikali,kwa hasira za kichapo yule kaka alitaka kumpiga ndugu mwandishi na moja ya jembe lilokuwa jirani hapo rakini lilimkosakosa,kuona hivyo timu nzima ya viwavi walimkimbizia ndani mmoja wa mwandishi wetu wa habari.Mwenyekiti wa viwavi amesema tumekuja kuutibu unafki,umbea na wanaopenda kudharau wenzao,na timu hiyo hiyo hipo teari kukodiwa ktk msuto wa mtu yoyote yule.

No comments:

Post a Comment