Tuesday, August 31, 2010

WAKAZI WA KIMARA KING'ONGO WALIA NA TANESCO


Wakazi wa kimara king'ongo wameitaka kampuni ya tanesco kuunganisha nyaya za umeme na siyo kusubili nguzo zote 1000 kutimia.Hakiongea na mwandishi wa blog hii mwananchi mmoja ambaye jina lake akutaka kutajwa amesema tokea tanesco watuletee nguzo za umeme bado hawaja unganisha hizo nyaya na badala yake juzi meneja wa kampuni hiyo ametembelea nguzo ambazo zimewasili na kusema nguzo hizo ni feki na kama wameuziwa wajue nguzo hizo hazipo kwenye mradi wa tanesco.Wakazi hao wa king'ongo wameitaka kampuni ya tanesco kuwa wao ndio watawajibika kwa sababu wao walichelewesha umeme katika makazi yetu ya muda mrefu.

Monday, August 30, 2010

MWAKA 1 WA NDOA YA ISHA MASHAUZI




Walio sema imevunjika mtajiju,hafutarisha na kuomba dua idumu daima,vijicho nyozi mpooo?

Bi Mkubwa


Bi mkubwa ameamua kuja kuwapa somo wale wote wanaopindisha dini hasa mwezii huu kuwa wajitaidi japo kidogo hata kama hawawezi itikadi hizo,bi mkubwa amewaambia mpaka leo vimebaki vyungu 10 ili tumarize mwezi,basi tuendelee kumuomba kwa kufunga ili hatupunguzie adhabu za dunian na ahera.Haya sasa je tutaweza? wizi umeongezeka kwa hapa bongo ususani sehemu zenye mkusanyiko wa watu wengi mfano kariakoo.Tuwe makini na malizetu.

KIJANA mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja hivi karibuni amenusurika kuuwawana na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa akituhumiwa kuiba baiskeli katika eneo la stendi ya daladala iliyopo katikati ya mji wa Morogoro.

Habari za awali zilizopatika eneo la tukio zilieleza kwamba kibaka huyo alifika katika duka moja la Mtanzania mwenye asili ya Kiasia (Mhindi) na kukwapua moja ya baiskeli za wateja waliokuwa wakinunua bidhaa katika duka hilo.

CHIDI AZINDUA ALBAMU YAKE




The new album of untouchable heavy weight four times Kilimanjaro best hip hop artist winner Chidi Beenz a.k.a Chuma a.k.a King Kong which goes by the name DSM STAND UP

TATOO





Wale wanaopenda kuchora tatoo haya mmeziona hizo? hapa bongo unachorwa na wataalamu kutoka tattooplacearusha@gmail.com kazi kwenu ila ILANI uwezi kupata kazi ya jezi,police nk kwa hapa bongo

ALADJI



mwanamuziki kutoka IVORY COAST ambae anatamba na wimbo wake wa ALADJI.. kwamba inakuaje ndio style ama vipi..

USWAHILINI KWETU


HII NDIO FAMILY




kushoto anaitwa JOSEPH mtoto wa Modesta Nyoni, na mtoto alie katikati anaitwa BRIAN mtoto wa LUIZA MBUTU (mama B) na kabinti huko upande wa kulia anaitwa ROSE mtoto wa MODESTA pia (aliyekaa mwenye hereni nyekundu)

ZAMARADI AZINDUA KIPINDI CHAKE CHA TAKE ONE










uzinduzi wa kipindi hicho ulifanikiwa wasanii na wadau mbalimbali wa filamu za hapa bongo walionyeshwa kufurahishwa na kipindi hicho.Vipindi vyote vya clouds tv vitazinduliwa kimoja baada ya kingine kwa kualika wadau mbalimbali kuviona kwa mara ya kwanza vikiruka hewani jana walianza na hicho cha Zamaradi.

Sunday, August 29, 2010

KIBARAZANI KWETU KUNA NINI?



Mshiriki wa mwaka jana wa Big Brother Revolution kutoka Tanzania Elizabeth Gupta jumamosi iliyopita ya tarehe 21 nchini Nigeria alivalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake ambae ndie mshindi wa Big Brother revolution ya mwaka jana Kevin Chuwang Pam kutoka Nigeria.
Wapenzi hao ambao walikuwa katika ukumbi wa Ogus Baba Laugh Goes On ambako hufanyika onyesho la comedy walipanda pamoja on stage kuperfom wimbo kwa pamoja unaoitwa 'unapata mambo'....mmh kumbe bidada nae huwa anaimba!!.Walipomaliza kuimba Kevin akapiga magoti kwa Elizabeth na kumwambia “Elizabeth, will you marry me”.
Ukumbini kulikuwa na watu takribani 2000 ambao walikuwa wakipiga kelele “say yes, say yes, say yes” ...Elizabeth akasema "Yes"
Hongera kwenu tunasubiri ndoa walianza kama utani tu,nakumbuka wakiwa ndani ya jumbaKevin alikuwa akisema anampenda sana Eliza.Kweli kwenye maisha ya mapenzi huwezi kujua utaishia kuwa na nani nakumbuka Eliza alikuwa anasema hajawahi kuwa na wapenzi/wanaume weusi hasa wa kiafrika!!!!

CAMERA YANGU (JICHO LA 3)





Tuesday, August 24, 2010

CLOUDS TV


Clouds Tv yaliteka jiji.

CAMERA YANGU (JICHO LA TATU)





TUPA KULE...>



xxl crazy friday meza moja alikuwepo msanii hemedi aka PHD,na interviews ilikuwa mbarataaaata mpaka pale alipoulizwa kuhusu chanzo cha biff linaloendelea kati yake na mcheza filamu mwenzake yusuph mlela kimbembe kikaanzia hapo.
hemedi akasema " biff lakwanza lilipoisha na watu kutupatanisha, siku moja tukawa tunarecord movie pamoja, na scene ilikuwa ni ya ngumi sasa nikashangaa mwenzangu ananipiga kiukweli ukweli he? na mi sio nikaanza za ukweli ukweli movie ikageuka kuwa mooooviieeee ukitegemea kulikuwa na mdem kibao wakati tunashoot.

baada ya jibu hilo xxl ilimvutia waya mlela na wakaombwa kutokutumia lugha chafu na kuombwa waongee ili yaishe lakini matokeo hayakuwa matarajio maana neno chafu la kizungu linaloanzia na F lilitawala sana huku kila mmoja kumuita mwenzake mshamba ama local.
sasa nikabaki kujiuliza ni SIFA, UBRADHAMEN, MADEM WANAWACHANGANYA au ? NIMEKOSA JIBU

MZAZI MLEZI?



mpaka sasa najiuliza inakuwaje mzazi unaamua kumfanyia mtoto tena wakumzaa mwenyewe ukatiri wa dizani hii na kumpa mtoto kilema cha makusudi bila hata ya huruma, bila kupata majibu.

WAKUSWAMPA KITAA


Tukio ambalo tumelifananisha na la kimara mwisho.
Mkazi mmoja wa kimara goba ameuawa na wananchi wenye asira kali pamoja na madereva pikipiki wa kimara king'ongo kufuatiwa kudaiwa kuwa ameiba pikipiki hiyo aina ya SON LG,nikiendelea na upekuzi wangu wakuswampa kitaa nilitinga mpaka kituo cha police ambako mkasa huo ndio ulipoanzia.Kijana aliyeuawa alifikishwa kituoni hapo ili hatiwe mahabusu lakini police walimwambia kuwa aondoke kwa sababu pikipiki imepatikana,alipotoka nje ya kituo madereva pikipiki walimvamia kwa kumshambulia na kisha kumbuza kwenda kumchoma moto...Hii ni kidogo 2...Mkuu wa kituo cha police kimara,pamoja na fundi pikipiki aliyeanzisha sekeseke zima pamoja na mwenye pikipiki wapo ndani kwa uchunguzi zaidi.Hii ni wakuswampa kitaa

Wednesday, August 18, 2010

MWEZI MTUKUFU



Wauza mwili duniani kote ususani hapa bongo soko lao limepungua kufikia kukaa japo kwa mitego ili wapate kuwatega wanaume wapenda ngono rakini wapi,wanaume wamekaza misuli kuliko siku zote za mwezi mtukufu,changudoa mmoja hakiongea na mimi kupitia simu yangu ya mkononi hameniambia soko kwa sasa limeshuka sana kupita miezi yote ya mfungo cjui wanaume mwaka huu wameamua ipasavyo na sisi tumetengeneza mbinu mpya ya kuwatega ili tuone wao na sisi nani hodari.

Tuesday, August 10, 2010

WAKUSWAMPA KITAA



Kanga 1 wakiwa jukwaani wakiwajibika