Saturday, October 16, 2010

KIKOSI CHA MORO....HATARI BABAKE!



Hawa ndio walioichapa taifa stars mbele ya mh:Rais

KIBARAZAN KWE2







Isha kushoto na rafiki yake hanifa ambaye mume wa isha anamshtumu kumpeleka pabaya mkewe, kukosa amani ndani ya ndoa yao mpaka kufikia juzi kuamkia jana kupigana mpaka kuvunjiana magari yao.Hizo ndizo habari za kibarazan kwetu kwa wiki hii,mchapo zaidi nitaufatilia ili nije kuwapa vituuuu

WAKUSWAMPA KITAA








CAMERA YANGU(JICHO LA TATU)