Thursday, February 24, 2011

ONGERA PACHA WANGU MOO WAUKWELI






Nakuombea dua zangu zote za rehma na mungu hapate kukupa nguvu na uzima mpaka siku hiyo ya tarehe 4 utakapo mchukua jumla,pacha wangu waukweli mimi bado nipo nyuma yako na mimi mwenyezi mungu hakinijaria nitafunga ndoa hiyo siku ya tarehe.......

Tuesday, February 22, 2011

VI2KO DUNIAN



TEAM IMEKAMILIKA,HAPA KAZI 2


Kama kawaida team imekamilika na sasa hipo kikazi zaidi chini ya kiongozi mpya.
team inampa pongezi MOHAMEDY RAJABU kwa kumvalisha pete mpenzi wake lilian hapo siku ya jana mishale ya saa Tano na nusu usiku,usijari Mohamedy mungu bado yupo na mpaka hapo mwisho wa siku ya 4 utakapo funga naye ndoa,
By Pacha wako wa ukweli Hassan Kibajaji

MCHARAZO WA B MKUBWA





Kama mumeo ajarudi nyumban kwa wiki au siku mbili usipate tabu,mfate momchwari huko utamkuta amejaa teleeee.

POPO BAWA ALEJEA TENA DAR ES SALAAM




Yule mdudu au jini popo bawa inasemekana amerudi tena kwa kasi ya ajabu licha ya kuwa watanzania kwa sasa tupo kwenye janga zito la mabomu ya gongo la mboto,kutoka katika chanzo chetu cha habari tukio hilo lililotokea hivi karibuni ktk mitaa fulan ya jiji la dar lililovutia watu wengi usiku wa kuamkia jana,habari kamili zitaletwa na hassan wa wakuswampa kitaa katika wakuswampa kitaa.

MY CAMERA (JICHO LA TATU)






END OF THE DAY

MAJAANGA YATAKWISHA LINI?






Blog ya mcharazo inatoa pole kwa wote walioathirika na janga hili, pia inaomba Serikali iwajibike ipasavyo kutokana na uzembe uliotokea ikibidi hata wahusika wajiuzuru nyadhifa zao!!!

SAIDIA GONGO LA MBOTO





Ndugu zangu na marafiki zangu wapenzi kama mnavyo jua wiki hii kuna janga kubwa sana limetokea huko nyumbani Tanzania na maisha ya watu wengi sana yako mashakani. Watu hawana makazi, watoto wamepotea, wengine wako mahospitalini na hali ya kiuchumi pia ni utata. Nimefikiria na wenzangu tukaona tuanzishe kitu kinaitwa "SAIDIA GONGO LA MBOTO". Kwa wale marafiki zetu mliopo UK au popote pale na mtapenda kuchangia tumeona ni bora tukachangia chochote tulicho nacho and then tuwakilishe Ubalozini na majina ya wale wote tuliojitolea chochote ili ubalozi utusaidie kuwakilisha mchango wetu na kutupatia report ni wapi huo msaada umekwenda na kama ni pesa zimefanya kitu gani kwa ajili ya watu hao. Haijalishi ni kiasi gani cha pesa au kitu gani utatoa, utoe tu kutokana na uwezo ulio nao 'it will still make a difference to the people out there'. Msaada unahitajika haraka iwezekanavyo. Ukihitaji receipt pia utapata.


KWA WAKAZI WA LONDON NA MIJI YA KARIBU AU KAMA UTA WEZA KUFIKA TUTAKUWA:


AFRICAN VILLAGE BAR & RESTAURANT
81 BROAD LANE
SEVEN SISTERS
LONDON
NW15 4DW


SIKU: JUMAPILI TAREHE 27 FEB 2011


MUDA: 3PM - LATE


KWA WAKAZI WA READING NA MIJI YA KARIBU AU KAMA UTA WEZA KUFIKA TUTAKUWA:
VINCENT RESTAURANT
288-290
OXFORD ROAD
READING


SIKU: JUMAMOSI 26 FEBRUARY 2011


MUDA: 3PM - LATE


TAFADHALI LETA CHOCHOTE ULICHO NACHO ILI TUWEZE KUWASAIDIA HAWA NDUGU ZETU WALIO PATWA NA MAAFA HUKO NYUMBANI TANZANIA


KWA WAKAZI WA MIJI MINGINE AMBAO MTASHINDWA KUFIKA LONDON TUNAPANGA UTARATIBU WA JINISI GANI TUNAWEZA KUFIKA KATIKA MIJI YENU KUKUSANYA HIYO MISAADA. TUTAWAJULISHA MARA MIPANGO HII ITAKAPO KAMILIKA.


AU KAMA UNA CHOCHOTE UNAWEZA PIA UKAWEKA KWENYE ACCOUNT IFUATAYO NA TUNAOMBA UANDIKE JINA LAKO AS REFERENCE ILI TUJUE PESA IMETOKA KWA NANI AND CAN BE ACCOUNTED FOR!!


BANK: BARCLAYS
NAME: MISS SHILLA GABRIEL FRISCH
ACCOUNT NUMBER: 40974382
SORT CODE: 202941


FOR MORE INFORMATION YOU CAN REACH US ON +447527190239 begin_of_the_skype_highlighting +447527190239 end_of_the_skype_highlighting,+447404332910 begin_of_the_skype_highlighting +447404332910 end_of_the_skype_highlighting, +447876126862 begin_of_the_skype_highlighting +447876126862 end_of_the_skype_highlighting, +4407747129987 begin_of_the_skype_highlighting +4407747129987 end_of_the_skype_highlighting, +447944473389 begin_of_the_skype_highlighting +447944473389 end_of_the_skype_highlighting


TAFADHALI MJULISHE NA MWENZIO.


ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI


"SAIDIA GONGO LA MBOTO"

UGUMU WA MAISHA?


UBONGO WA M2 NI KAMA TWITER,LEO UJUMBE KESHO MPYA UTAPITA/
SIONI LA AJABU KUBAKI NA BOXER, ILA UKIITOA UTAFANYA MAKOSA/
AFANDE TWENDE TWENDE KIMENDE,ILA USIPIME MIBA UKAJA KUOTA TENDE/
NA USICHEZE NA WALIBWENDE COZ ONE DAY WATAKUTOA MAKENDE/
WE WA UKWELI KING WA PORI,SIO MDORI, AU NYORI KAMA MTORI/
WEWE NI PILAU NA KTK GAME YA MUZIKI HATUKUSAHAU/
COZ UMKALI WA FALSAFA NA KWENYE NAHAU HATUKUSAU...........BRAAAAAAAAAAAAAAAA

MZIGO SOKONI




Filamu ya shoga kutotolewa:Vyanzo vyetu vya habari inasemekana filamu mpya iliyoingia sokoni kutotolewa kwa wauzaji kwa sababu ya maadili ya kitanzania.Kampuni ambayo inasambaza kanda hiyo ya SHOGA imeambiwa iwasilishe haraka mpaka bodi ya taifa ya ukaguzi wa filamu itakapo ikagua,
SWALI:Teyari baadhi ya wauzaji wa filamu nakala wamezisambaza je?itakuwaje?

CAMERA YANGU(JICHO LA 3)











Thursday, February 17, 2011

KIBARAZAN KWETU













Watanzania wengi tupo vibarazani,makazini nk.2kizungumzia tukio ili la kusikitisha uchunguzi wa chanzo bado aujafanyika,kibarazi kwetu hizi ndio pambo la wiki hii.