Saturday, May 14, 2011

BREAKING NEWS

















Hivi ndivyo ilivyokuwa leo jion saa moja kasoro,Loli rililopinduka maeneo ya kimara resort na kuua watu wa tatu.Nikiwa katika moja ya mashuuda wa tukio hilo na kuuona mchezo huo,mmoja kati ya marehemu hao ni Mc na muigizaji wa kikundi cha michezo ya kuigiza na film hapa bongo jina lake sijalifahamu mpaka naondoka hapo ambaye ndiye angekuwa mc ktk shughuli ya hapo Resort Bar siku ya leo,
Kila jambo na wakati wake mungu pekee ndiye anajua wakati wa kira mwanadamu unapotimia kufika mwisho.