Wednesday, November 14, 2012

Saturday, October 27, 2012

NIPO NYUMBAN KWANGU SASAAAAAAAA!

Sitaki majungu wala maneno ya kashfa,nimetuli kwangu,nimepanga kwa pesa yangu,karibun wadau wangu,nipo nyumban kwangu saaaa!

NAKUKUBALI SANAAAAAAAAAAA!

Wakuache tena sana tu,nakukubali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

CHEKA NA MJOMBA NISHAI

Jaji alihukumu wezi wa matunda,jaji aliwataka kila mmoja aingizwe mkundun tunda aliloiba,John aliiba tango hakaingizwa lote huku hakiwa acheka,Jaji alimuuliza john mbona unacheka? John hakajibu namcheka salum maana yeye kaiba fenesi! WOTE MAHAKAMAN Aaaah!

Monday, September 17, 2012

Hassian waukweliiiiiiiiii!

CHEKA NA MJOMBA NISHAI

WANIACHE KABSAAAAAAAAAAA!

Nimerud kama zaman mtoto wa mama Hassan kibabaji,majanga,charuko na Rais wa kimara ndiyo mimi,jaman Eeeeeh! Niachen na wadau wangu kabsaaa!

MWENYEZI MUNGU TUMUACHEN TU.

MWENYEZI MUNGU TUMUACHEN TU.

KARIA SOFA JIACHIEEEEEEEEEEE!

Nimekuja hivyo,hapa full rahaaaa mdau wangu.Jiandae kupata rahaaa zote za dunia.

MLALA NJEEEEEE!

Haya ndiyo yaliyojiri ndan ya jiji la dar,pitapita yangu huku na kuleeee!

WAKUSWAMPA KITAA

Hayo ndiyo yaliyojili ktk mitaa ya jiji la bongo

Thursday, March 29, 2012

BREAKING NEWs



Nimerea tena nikiwa na timu yangu ya habari motomoto,kaa mkao wa kula news mpya na hambazo hazijatangazwa kokote mtandaon isipokuwa hapa mcharazoni

Dida harejea times fm


Tega sikio kama kawa kama dawa ktk frequency zilezile za Radio Times Fm kutokea Kawe Beach jijini DSM

Khanga moko


Kiongozi wa khanga moko laki c pesa ndembendembe Diana hakiwajibika jukwaani.

mcharazo.blogspot.com


mcharazo.blogspot.com,ndani ya facebook

WADAU MPOOOOO?

Naandaa mambo mapya jiandaen kuyapokea