Thursday, March 29, 2012

BREAKING NEWs



Nimerea tena nikiwa na timu yangu ya habari motomoto,kaa mkao wa kula news mpya na hambazo hazijatangazwa kokote mtandaon isipokuwa hapa mcharazoni

Dida harejea times fm


Tega sikio kama kawa kama dawa ktk frequency zilezile za Radio Times Fm kutokea Kawe Beach jijini DSM

Khanga moko


Kiongozi wa khanga moko laki c pesa ndembendembe Diana hakiwajibika jukwaani.

mcharazo.blogspot.com


mcharazo.blogspot.com,ndani ya facebook

WADAU MPOOOOO?

Naandaa mambo mapya jiandaen kuyapokea