Saturday, October 12, 2013

WAKUSWAMPA KITAA

MAPOZI

Mapozi wiki imewaleta hawa,wenyewe pambe tu

Saturday, September 21, 2013

TRUE

NYETI KULIKO NYETI HULIZO NAZO

MAPOZI

Wewe unaic yup mkali zaid ya mwenzie?

KWETU

lady jay dee

Chorus: Yahaya unaishi wapi Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya Maskani yako Kinondoni Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh Oooh Yahaya, Oooh Yahaya VERSE 1: Huyu kijana mwenzetu, Kila siku tupo nae maskani Anakula ofa za watu, Anapoishi hata hapajulikani Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae Anavyozuga, anavyopita Si umdhaniae Na hafananii kabisa, na fix anazofanya Akidanganya kwa kina Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa Longo longo nyingi Rudia Chorus: VERSE 2 Kwa story za vilingeni, Utafikiri kweli yeye ndio boss Suruali zake na mashati, Anasema anafanya kazi bank Mara anasema usalama wa Taifa, Hakuna ajuae Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae Na hafanii kabisa, na fix anazofanya Akidanganya kwa kina Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa Ooooh Yahaya Rudia Chorus: Mara anasema usalama wa Taifa Hakuna ajuae Kalubandika wa kizazi kipya Uso mdhaniae Na hafanii kabisa na fix anazo fanya Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata Kumbe hana helaa Chorus: Yahaya unaishi wapi Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya Maskani yako Kinondoni Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh Oooh Yahaya, Oooh Yahaya MWISHO: Mtunzi/ Mwandishi: Judith Wambura ( Lady JayDee) Producer: Man Water Studio: Combination Sound

WAKUSWAMPA KITAA

WANAWAKE wawili walioolewa katika familia moja ‘wajengez’, mama Hashimu na mama Fadhila, wakazi wa Kimara King’ong’o jijini Dar, hivi karibuni walifikishwa serikali za mtaa kwa kosa la kutukanana matusi ya nguoni pamoja na kushikana uchawi, mcharazo linakunyetishia. Inadaiwa kuwa wanawake hao ‘walimwagiana’ matusi hayo usiku wa manane na kusababisha watu wengine kukosa usingizi na kukusanyika kuwasikiliza. Mara baada ya kufikishwa serikali ya mtaa, wake wenza hao walitakiwa kueleza ugomvi wao na kila mmoja kuanza kushusha tuhuma kwa mwenzake. Mapaparazi wetu waliwashuhudia wakati wake wenza hao walipokuwa wakijieleza mbele ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa King’ong’o, Demetrius Mapesi na Mtendaji wake Amina Rashid. Mama Hashimu alianza kuelezea kisa kizima na kufuatiwa na mama Fadhila (pichani) ambaye wakati akijieleza alipandisha mori kiasi cha kumfanya atake kumrukia mwenzake. “Unajua nasikia hasira sana kwa sababu mama Fadhila ameniita mchawi huko mtaani unadhani mimi nitaelewekaje? Ukweli kauli hiyo inaniuma sana,” alisema mama Hashim na kuangua kilio. Hata hivyo, baada ya kila mmoja kueleza ya moyoni, mwenyekiti wa serikali za mtaa pamoja na mtendaji wake, waliwaamuru wake wenza hao kupeana mkono na kuombana msamaha. “Sasa hapa hakuna kesi, kwani wote mna makosa, hebu niambieni mnawafundisha nini watoto wetu kwa matusi mliyotukanana hadharani?” alihoji mwenyekiti na kuwataka wayamalize mambo hayo. Aidha, mwenyekiti huyo aliahidi kuwafuatilia ili kuona kama watakuwa wamebadili tabia zao. Kama vile haitoshi aliwaahidi kama watarudia atawahamisha mtaa pamoja na waume zao kwani mtaani kwao hawahitaji watu wanaotukanana ovyo na kuzushiana mambo ya kichawi. Baada ya tamko la mwenyekiti, mtendaji wake aliwaamuru wake wenza hao kuandika matusi waliyotukanana kisha akawapiga faini ya shilingi 20,000 kila mmoja. “Kutokana na matusi yenu nalazimika kuwapiga faini ya shilingi elfu ishirini kila mmoja, ingawaje kwa mujibu wa sheria ya Tanzania mtu akikutwa na hatia ya kutukana anatakiwa kutozwa faini ya shilingi elfu hamsini au kufungwa jela miezi sita,” alisema mtendaji huyo. Kila mmoja alilipa nusu ya faini na kuahidi kumalizia huku wakisema kuwa hawatarudia kufanya kosa hilo tena

Tuesday, August 6, 2013

Saturday, August 3, 2013

MAJANGA

NILIKUTA NA HAYA JANA,JAMAN MAJANGA?

TUPIAMO

Friday, July 19, 2013

TUPIAMO

Jamaa anatisha ile mbayaaaa! swaga za ukweli,umetupiamo

NIMEZIKUBALI

Wednesday, July 17, 2013

Aaaaaaah!

Nikiwa na mdau wa blog yangu hapa,anaitwa g king,nikiwa nae pande za kimara

MAPOZI

Kwa raha zao,nimewa photo

WAUKWEL

NDIYO STAR WANGU WA SASA KATIKA PG YANGU HII,UNAMFAHAMU,CHEZEA ULIPUKE

MWENYEWE PAMBE 2

Nipo na danny mtoto wa mama WENYEWE PAMBE 2

Tuesday, February 19, 2013

BREAKING NEWS

UNA MAONI GANI KUHUSU HII BARUA ALIYOIANDIKA PAPII KOCHA KWA MR.PRESDENT?BE SERIOUS!!!! MF/NA: 836'04 Johnson Nguza (Papii Kocha) Gereza Kuu Ukonga S.L.P 9091 Dar es Salaam Mh. Rais Jamuhuri ya Muungano Tanzania YAH: MAOMBI YA KUPEWA MSAADA (MSAMAHA) WA KUFUTIWA ADHABU YA KIFUNGO NILIYOPEWA NA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU. Husika na somo hilo hapo juu. Mimi ni mfungwa katika gereza kuu Ukonga. Kwa heshma na taadhima na kwa kutambua utu na huruma yako ya kiMUNGU ulionayo dhidi ya binadamu wenzako pamoja na mamlaka uliokabidhiwa na Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naanguka na kushika miguu yako mitukufu muheshimiwa rais. Nakuomba msaada (msamaha) kwako muheshimiwa rais, kwa njia hii ya maandishi kusudi niweze kuondolewa adhabu ya kifungo cha maishagerezani,niliyohukumiwa na mahakama tajwa hapo juu. Mh.Rais mimi nimefungwa nikiwa bado kijana mwenye umri mdogo, na ukweli kutoka moyoni sikufanya kosa hilo. Si mimi, baba yangu Nguza wala ndugu ya...ngu yeyote aliyefanya kitendo kile. Lakini wenye mamlakawakatuona tuna hatia na kuamua kuteketeza kizazi chetu gerezani. Natamani kiama ifike ili mwenyezi Mungu aweke wazi ukweli wote uliojificha nyuma ya pazia. Mpaka sasa natambua wazi hatima pamoja na dhamana ya maisha yangu ipo katika mikono yako mitukufu Mh. Rais Naomba huruma yako muheshimiwa Rais maana mimi ni mtoto wako ninaehitaji huruma yako wewe mzazi. Lakini pia sisi ni binadamu wenye nafsi na miili kama wengine. Waliotumia mamlaka yao kutuweka gerezani nao ni binadamu pia, wenye miili na nafsi. Ipo siku nafsi zetu zitapaswa kutoa hesabu ya tuliyoyafanya hapa duniani. wakati huo miili yetu tunayoitumia kunyanyasa wanyonge itakuwa imeoza mavumbini. Natumaini kauli yako ya mwisho ndio itakayoleta pumzi ya uhai nafsini mwangu. Nakutakia kazi njema, afya njema na maisha marefu. Mungu akubariki. Wako mtiifu Mfungwa NO:836'04 JOHNSON NGUZA (PAPII KOCHA)..See More— with Jimmy Zacharia Zitto and 45 others.

Monday, February 18, 2013

2LIPOTOKA NI MBARI

KARIA SOFA JIACHIE

Kama unaitaji mzigo nipigie fasta nikuunganishe.

MWENYEWE PAMBE 2

Nilikutana na jack kamugisha,nikamuomba na sasa huyu hapa,mwenyewe pambe 2 ana maneno

Tuesday, February 12, 2013

WAKUSWAMPA KITAA

BAD NEWS:Kwa wakaz wa magomen Kagera na Maeneo Ya jiran Huu ni mwili wa mtoto Mdogo aliefariki baada ya Kujifungia kwenye Gari aina Ya Rav4 new Moden iliyokua packng bila lock ya mlango kufungwa!"chanzo che2 kinadai huwa ni kawaida ya mtoto huyo kua maeneo yale na kucheza na wenyeji wa pale,mweli wa mtoto huyo umechukuliwa na Polis na kwa habar zaidi tutawaletea zitakapopatikana kwa uhakika.

Friday, January 18, 2013

Monday, January 7, 2013

WAKUSWAMPA KITAA

Hayo ndiyo niliyokutana nayo