Saturday, October 27, 2012
NIPO NYUMBAN KWANGU SASAAAAAAAA!
Sitaki majungu wala maneno ya kashfa,nimetuli kwangu,nimepanga kwa pesa yangu,karibun wadau wangu,nipo nyumban kwangu saaaa!
CHEKA NA MJOMBA NISHAI
Jaji alihukumu wezi wa matunda,jaji aliwataka kila mmoja aingizwe mkundun tunda aliloiba,John aliiba tango hakaingizwa lote huku hakiwa acheka,Jaji alimuuliza john mbona unacheka? John hakajibu namcheka salum maana yeye kaiba fenesi!
WOTE MAHAKAMAN Aaaah!
Subscribe to:
Posts (Atom)