Thursday, April 8, 2010

WAKUSWAMPA KITAA




mkazi wa hapa jijini Dar alikuwa kapanga huko Magomeni kwa mwaka mzima nyumba ya dada mmoja hivi.Ila kwa kipindi kirefu anasema mama mwenye nyumba amekuwa akimyanyasa yeye na wapangaji wenzake.Sasa kodi yake imeisha jumamosi ya juzi 27 na ikawa ndio siku yake ya kuhama.Akaamua kabla ya kuhama kabisa afanye sherehe ya kuhama nyumba hiyo na kumshukuru mungu kumuepusha na balaa la kuendelea kuishi nyumba hiyo.Na pia kumpa mama mwenye nyumba vipande vyake.

No comments:

Post a Comment