Saturday, April 24, 2010

WAKUSWAMPA KITAA





Kaole katika kundi lilotoa wasanii wengi maarufu wa filam nchini Tanzania.Kama unakumbuka katika michezo ya Kaole kama Radi na Fukuto iliyokuwa inarushwa katika kituo cha ITV alikuwa anajulikana kwa jina la Promoter Jongo akiwa na swahiba wake Juma Mchopanga na akawa anajishughulisha na mambo ya mapromotion kwa kuandaa maonyesho ya kisanii.Kwa sasa Dr manyaunyau anajishughulisha na shughuli zake za uganga hapa nchini na nchi za nje.Dr Manyaunyau anasifika kwa kula paka akiwa katika shughuli zake za kiganga na kujipatia umaarufu mkubwa hapa nchini.

No comments:

Post a Comment