Friday, November 5, 2010

WAKUSWAMPA KITAA





Hapo juu ni picha za Tukio lililotokea usiku wa kama saa 2 hivi jana baada ya wasimamizi wa uchaguzi katika kata ya Kiwalani kuondoka na askari wakiwa ktk magari ya polisi na masanduku ya KURA kabla ya kutoa matokeo hasa ya Udiwani ambayo watu wengi walikuwa wakuyasubiri kwa hamu..



Huku nyuma watu wakaona wamefanywa wajinga, kwa hasira wakachoma moto ofisi hizo! Laiti matokeo husika yangetolewa mapema ofisi isingechomwa moto

No comments:

Post a Comment