Tuesday, October 12, 2010

MISS TANZANIA


Vodacom Miss Tanzania 2010 Ginevieve Emmanuel ametakiwa kulinda heshima yake pamoja na nchi yake awapo katika mashindano ya Miss World kwa kuwa amepewa dhamana ya kuibeba nchi na Amani ya Tanzania.
Mrembo huyo anaondoka leo na ndege ya Qatar air kwa ajili ya kambi ya Miss World itakayoanza Oktoba mosi mwaka huu na safari yake itapitia Mongolia ambapo atakaa kwa muda wa siku tatu na baada ya hapo atakwenda Shangai ambako pia atakaa kwa siku tatu kisha ataelekea China kabla ya kutua Kusini Sanya kwa mashindano hayo.

No comments:

Post a Comment