Tuesday, October 12, 2010

NAJUA WAJUA RAKINI JUA ZAIDI



Naitwa Naomi Chande, ni mwanamke wa kitanzania mwenye umri wa miaka 34. Ninafanya kazi ya kutoa elimu nasaha ya ujinsia pamoja na elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya ukimwi. Nimeandika kitabu kinachoitwa USAGAJI; CHANZO NA ATHARI ZAKE KATIKA JAMII. Kitabu kinachoelezea chanzo cha usagaji na madhara yake. Kitabu vilevile kinaelezea namna thabiti ya kumsaidia mwanamke aliyetopea kwenye usagaji aweze kuachana na tabia hiyo chafu. Kitabu kinapatikana kwa wauza magazeti maeneo ya Ubungo, Kariakoo na Mlimani City jijini Dar es salaam. Vilevile wanunuaji wanaweza kuwasiliana na msambazaji wangu ambaye atawapelekea kitabu popote pale walipo jijini Dar es salaam kwa simu nambari 0652458398. Naomba uweke tangazo hili kwenye blogu yako ili watanzania wapate kuzijua habari za kitabu hicho chenye mafunzo mazito kwa jamii.

No comments:

Post a Comment