Tuesday, February 22, 2011

POPO BAWA ALEJEA TENA DAR ES SALAAM




Yule mdudu au jini popo bawa inasemekana amerudi tena kwa kasi ya ajabu licha ya kuwa watanzania kwa sasa tupo kwenye janga zito la mabomu ya gongo la mboto,kutoka katika chanzo chetu cha habari tukio hilo lililotokea hivi karibuni ktk mitaa fulan ya jiji la dar lililovutia watu wengi usiku wa kuamkia jana,habari kamili zitaletwa na hassan wa wakuswampa kitaa katika wakuswampa kitaa.

No comments:

Post a Comment