Monday, August 30, 2010


KIJANA mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja hivi karibuni amenusurika kuuwawana na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa akituhumiwa kuiba baiskeli katika eneo la stendi ya daladala iliyopo katikati ya mji wa Morogoro.

Habari za awali zilizopatika eneo la tukio zilieleza kwamba kibaka huyo alifika katika duka moja la Mtanzania mwenye asili ya Kiasia (Mhindi) na kukwapua moja ya baiskeli za wateja waliokuwa wakinunua bidhaa katika duka hilo.

No comments:

Post a Comment