Tuesday, August 24, 2010

TUPA KULE...>



xxl crazy friday meza moja alikuwepo msanii hemedi aka PHD,na interviews ilikuwa mbarataaaata mpaka pale alipoulizwa kuhusu chanzo cha biff linaloendelea kati yake na mcheza filamu mwenzake yusuph mlela kimbembe kikaanzia hapo.
hemedi akasema " biff lakwanza lilipoisha na watu kutupatanisha, siku moja tukawa tunarecord movie pamoja, na scene ilikuwa ni ya ngumi sasa nikashangaa mwenzangu ananipiga kiukweli ukweli he? na mi sio nikaanza za ukweli ukweli movie ikageuka kuwa mooooviieeee ukitegemea kulikuwa na mdem kibao wakati tunashoot.

baada ya jibu hilo xxl ilimvutia waya mlela na wakaombwa kutokutumia lugha chafu na kuombwa waongee ili yaishe lakini matokeo hayakuwa matarajio maana neno chafu la kizungu linaloanzia na F lilitawala sana huku kila mmoja kumuita mwenzake mshamba ama local.
sasa nikabaki kujiuliza ni SIFA, UBRADHAMEN, MADEM WANAWACHANGANYA au ? NIMEKOSA JIBU

No comments:

Post a Comment