Tuesday, August 24, 2010

WAKUSWAMPA KITAA


Tukio ambalo tumelifananisha na la kimara mwisho.
Mkazi mmoja wa kimara goba ameuawa na wananchi wenye asira kali pamoja na madereva pikipiki wa kimara king'ongo kufuatiwa kudaiwa kuwa ameiba pikipiki hiyo aina ya SON LG,nikiendelea na upekuzi wangu wakuswampa kitaa nilitinga mpaka kituo cha police ambako mkasa huo ndio ulipoanzia.Kijana aliyeuawa alifikishwa kituoni hapo ili hatiwe mahabusu lakini police walimwambia kuwa aondoke kwa sababu pikipiki imepatikana,alipotoka nje ya kituo madereva pikipiki walimvamia kwa kumshambulia na kisha kumbuza kwenda kumchoma moto...Hii ni kidogo 2...Mkuu wa kituo cha police kimara,pamoja na fundi pikipiki aliyeanzisha sekeseke zima pamoja na mwenye pikipiki wapo ndani kwa uchunguzi zaidi.Hii ni wakuswampa kitaa

No comments:

Post a Comment