Tuesday, August 31, 2010

WAKAZI WA KIMARA KING'ONGO WALIA NA TANESCO


Wakazi wa kimara king'ongo wameitaka kampuni ya tanesco kuunganisha nyaya za umeme na siyo kusubili nguzo zote 1000 kutimia.Hakiongea na mwandishi wa blog hii mwananchi mmoja ambaye jina lake akutaka kutajwa amesema tokea tanesco watuletee nguzo za umeme bado hawaja unganisha hizo nyaya na badala yake juzi meneja wa kampuni hiyo ametembelea nguzo ambazo zimewasili na kusema nguzo hizo ni feki na kama wameuziwa wajue nguzo hizo hazipo kwenye mradi wa tanesco.Wakazi hao wa king'ongo wameitaka kampuni ya tanesco kuwa wao ndio watawajibika kwa sababu wao walichelewesha umeme katika makazi yetu ya muda mrefu.

No comments:

Post a Comment