Monday, March 22, 2010

HABARI KWA WADAU WETU


Bi Chuma Suleiman aka. Bi Hindu, ni msanii maarufu hapa Tanzania. Bi Hindu ameigiza katika film na michezo kwenye TV hapa Bongo miaka mingi sana. Pia ameigiza katika michezo mingi ya redio. Kwa siku hukosi kumwona kwenye television hapa Bongo.
Bi Hindu anapenda sana mambo ya usanii na aliniambia alianza miaka mingi sana iliyopita hata kabla ya Uhuru wa Tanganyika. Bi Hindu alisomewa lines zake za kuongea na kuzishika mara moja.
Wadau wangu mpoooo? huyo ndio bi hindu,mtakuwa naye katika kipengele cha mcharazo wa Bi,mkubwa hapa hapa ndani ya blog yako uipendayo,subiri mwezi ujao upate uhondo kamili,anakujaaa

No comments:

Post a Comment