Saturday, March 6, 2010

MAAJABU YANAENDELEA?


Masta anaishi katika jeneza hilo, aliloliweka juu ya mawe eneo la Kipawa, Ilala, jijini Dar es Salaam, sehemu ambayo ilikuwa na makazi ya watu kabla ya bomoa bomoa iliyowahamisha kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
“Sina mahala pa kuishi, unajua sisi hatuna mali. Siyo matajiri, urithi pekee ambao niliachiwa na wazee wangu ni nyumba ambayo ilikuwa ikinisaidia vijisenti vya kuendesha maisha yangu, lakini imebomolewa.mimi huwa sitii neno nawaachia nyie wadau haya maoni yenu.

No comments:

Post a Comment